International Development Law Organization
Home > Publications

HIV-Related Legal Services - Guide for University Legal Clinics Tanzania (English, Swahili)

Date of Publication: 
Tuesday, June 26, 2018
About This Publication: 

English: The objective of this handbook is to assist law lecturers, legal clinic managers and law students in Tanzania to respond effectively to the HIV epidemic. Effective responses include providing HIV-related legal advice and litigation support; leading in research on HIV-related law and human rights; and advising the government on HIV-related legislation, and the implementation of related laws and policies.

Swahili: Huduma Za Kisheria Zinazohusiana Na Vvu - Mwongozo kwa Kliniki za Msaada wa Kisheria za Vyuo Vikuu vya Tanzania: Lengo la kitabu hiki ni kuwasaidia wahadhiri wa fani ya sheria, mameneja wa kliniki za msaada wa kisheria na wanafunzi wa sheria nchini Tanzania kushiriki kikamilifu katika programu za mwitikio wa kitaifa juu ya UKIMWI. Mwitikio wa kitaifa unajumuisha kutoa ushauri wa kisheria unaohusiana na VVU, kuendesha mashauri yanayohusiana na uvunjifu wa haki za watu wenye VVU katika vyombo vya utoaji haki; kufanya tafiti zinazohusiana na masuala ya sheria, haki za bianadamu na VVU; na kuishauri serikali kuhusiana na uundwaji wa sheria zinazosimamia VVU pamoja na utekelezaji wa sheria zenyewe.

Countries: